Loading Events

All Events

  • This event has passed.

Maombi ya Kitaifa

February 26 @ 8:00 am - 5:00 pm

Maombi ya Kitaifa hufanyika kila mwisho wa mwezi katika Makanisa yote ya Shekina Taifa. Maombi ya Taifa ni Tukio muhimu la kuombea Maendeleo na Taifa kwa ujumla. Mshirikishe na mwenzio muweze kuhudumu pamoja.

Details

Date: February 26
Time:
8:00 am - 5:00 pm
Event Category:

Venue

Shekina Church
Shekina Taifa Tanzania, United Republic of + Google Map
Phone: +255769366826