Events

Semina ya Uinjilisti

Shekina Church Shekina Taifa

Hii ni moja kati ya Semina muhimu na ambayo sio ya kukosa. Semina ya Uinjilisti itafanyika kuanzia Tarehe 25 January mpaka Tarehe 28 January 2024. Sehemu ya Tukio ni ndani ya Kanisa la Shekina Kunduchi-Mtongani, Dar es salaam. Mualike na mwenzio mje pamoja.

Maombi ya Kitaifa

Shekina Church Shekina Taifa

Maombi ya Kitaifa hufanyika kila mwisho wa mwezi katika Makanisa yote ya Shekina Taifa. Maombi ya Taifa ni Tukio muhimu la kuombea Maendeleo na Taifa kwa ujumla. Mshirikishe na mwenzio muweze kuhudumu pamoja.